SIMU. Tv
SIMU. Tv
  • Видео 37 020
  • Просмотров 51 767 625
Wito Kwa Wananchi Wote Nchini
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wananchi na mashirika mbalimbali kuunga mkono kampeni ya kuwasaidia watu waliopoteza viungo vyao
Просмотров: 10 171

Видео

Suala La Watoto Njiti
Просмотров 2,8 тыс.6 лет назад
serikali imetoa wito kwa wadau wa afya na mashirika mbalimbali kutoa elimu kwa jamii kuhusu watoto njiti
Matibabu Ya Ugonjwa Wa Moyo Nchini
Просмотров 1,9 тыс.6 лет назад
Inaelezwa kuwa zaidi ya 40 wamefanyiwa upasuaji wa Moyo katika taasisi ya Jakaya Kikwete
Sekta Ya Usafiri Mwanza
Просмотров 1,3 тыс.6 лет назад
Serikali mkoani Mwanza imeanza kufanya uboreshaji wa meli katika kuboresha shughuli za usafiri ndani ya ziwa Victoria
Msaada Wa Vifaa Tiba
Просмотров 8756 лет назад
Jeshi la polisi nchini limepokea msaada wa vifaa tiba kwa ajili ya hospitali zinazomilikiwa na jeshi la polisi nchini
Magazeti Novemba 18 CH 10
Просмотров 8236 лет назад
wanafunzi wakumbwa na ugonjwa wa ajabu,serikali yaeleza sababu za kusitisha ajira,polisi kuongezewa posho,watoto njiti waongezeka. Pata mgazeti ya leo hapa.
Magazeti Novemba 18 TBC
Просмотров 4096 лет назад
Bunge launda kamati kuchungza gesi na Uvuvi, wagonjwa watumika kusafirisha unga,muuaji maarufu wa tembo atiwa mbaroni,serikali: Hatunyang’anyi viwanda wawekezaji,Yondani,Ajibu siri nzito,Pata mgazeti ya leo hapa
Ammy Kinje Atauliwa Kuwa Kocha Mkuu Kilimanjaro Stars
Просмотров 6826 лет назад
Ammy Kinje Atauliwa Kuwa Kocha Mkuu Kilimanjaro Stars
Jeshi La Polisi Lapata Msaada Wa Vifaa Tiba
Просмотров 3706 лет назад
Jeshi la polisi nchini limepokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi bilioni mbilikwa ajili ya hospitali na vituo vya afya vinavyomilikiwa na jeshi hilo hapa nchini.
Uzinduzi Wa Jason Tv DSM
Просмотров 1,7 тыс.6 лет назад
Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amewataka wasaanii nchini kuongeza ubunifu na kutengeneza kazi zenye ubora ili kumudu ushindani wa soko badala ya kuilalamikia serikali iwasaidie.
Wananchi Wahimizwa Kuwachangia Wenye Uhitaji Wa Miguu Bandia
Просмотров 5586 лет назад
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wananchi pamoja na taasisi mbalimbali kuunga mkono kampeni ya kuwasaidia wananchi wenye ulemavu kwa kuchangia gharama za kuwatengenezea miguu bandia.
Mshindi Wa BIKO Akabidhiwa Zawadi Yake
Просмотров 5096 лет назад
Marck Benedict mkazi wa Mto wa Mbu mkoani Arusha amekabidhiwa kitita cha shilingi milioni 20 alizojishindia katika mchezo wa bahati na sibu wa BIKO.
Ujumbe Wa Wekezaji Kutoka Ujerumani Wawasili Nchini
Просмотров 5496 лет назад
Miradi mikubwa ya uwekezaji nchini huenda ikaanza kufadhiliwa na makampuni kutoka nje ya nchi kufuatia kuwasili kwa ujumbe wa makampuni ya uwekezaji kutoka nhini Ujerumani.
Juhudi Za Kupambana Na Uvuvi Haramu Mwanza
Просмотров 4506 лет назад
Viongozi wa madhehebu ya dini mkoani Mwanza wameiomba serikali kuongeza nguvu katika zoezi la kudhibiti uvuvi haramu katika ziwa Viktoria ili kuimarisha ustawi wa jamii ya kanda ya ziwa.
Wakulima Wa Chai Wapatiwa Mafunzo Njombe
Просмотров 5056 лет назад
Zaidi ya wakulima wadogo 200 wa chai mkoani Njombe wamenufaika na mafunzo ya mwaka mmoja ya kilimo cha zao hilo yenye lengo la kuwaimarisha wakulima katika kulima kilimo chenye tija.
Mbozi Yatekeleza Mpango Wa Kuwapatiwa Wanafunzi Chakula Cha Mchana
Просмотров 1 тыс.6 лет назад
Halmashauri ya Mbozi imetajwa kuwa miongoni mwa halmashauri zinazotekeleza mpango wa serikali wa kuhakikisha wanafunzi wanapata chakula cha mchana shuleni.
Wananchi Waombwa Kuendelea Kuchangia Miguu Bandia Kwa Wahitaji
Просмотров 7476 лет назад
Wananchi Waombwa Kuendelea Kuchangia Miguu Bandia Kwa Wahitaji
Elimu Ya Usalama Barabarani Kupunguza Ajali
Просмотров 4646 лет назад
Elimu Ya Usalama Barabarani Kupunguza Ajali
Wasichana Mkoani Simiyu Kufikiwa Na Elimu Ya Kuepuka Mimba Za Utotoni
Просмотров 3156 лет назад
Wasichana Mkoani Simiyu Kufikiwa Na Elimu Ya Kuepuka Mimba Za Utotoni
Waziri Mkuu Aeleza Mikakati Ya Kukuza Kilimo Nchini
Просмотров 5266 лет назад
Waziri Mkuu Aeleza Mikakati Ya Kukuza Kilimo Nchini
Kubenea Ahojiwa Mbele Ya Kamati Ya Maadili
Просмотров 5436 лет назад
Kubenea Ahojiwa Mbele Ya Kamati Ya Maadili
Kwimba Yajipanga Kuinua Uzalishaji Wa Pamba
Просмотров 3306 лет назад
Kwimba Yajipanga Kuinua Uzalishaji Wa Pamba
Serikali Yaanza Kufanya Matengenezo Ya Meli
Просмотров 2766 лет назад
Serikali Yaanza Kufanya Matengenezo Ya Meli
Swali La Mbunge Sitta
Просмотров 5196 лет назад
Swali La Mbunge Sitta
Swali Kuhusu Miundombinu Igunga
Просмотров 1606 лет назад
Swali Kuhusu Miundombinu Igunga
Magazeti Novemba 17 CH 10
Просмотров 1946 лет назад
Magazeti Novemba 17 CH 10
Magazeti Novemba 17 TBC
Просмотров 1396 лет назад
Magazeti Novemba 17 TBC
Serikali Kutimiza Ahadi Zote za Rais Magufuli
Просмотров 4046 лет назад
Serikali Kutimiza Ahadi Zote za Rais Magufuli
Swali la Mbunge Juma Nkamia
Просмотров 3096 лет назад
Swali la Mbunge Juma Nkamia
Wazalishaji wa Mazao Kutunza Nafaka
Просмотров 1786 лет назад
Wazalishaji wa Mazao Kutunza Nafaka

Комментарии

  • @BullFatherMusic
    @BullFatherMusic 12 часов назад

    Mbunge, Mpina sent me here

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 23 часа назад

    Sasa hii kama hii mbona mpina kaonekana kalikosea Bunge hii issue hata Bashe si kafanya

  • @lovesamson1853
    @lovesamson1853 День назад

    Mm ninamiez mitano cjaona hedhi yangu na mimba sina

  • @shiraziibrahim9709
    @shiraziibrahim9709 6 дней назад

    Ramadhani Dau

  • @JohanesSilver
    @JohanesSilver 7 дней назад

    Kutoka uchafu na damu yenye harufu mbaya tatizo nn

  • @Mariam-ej8to
    @Mariam-ej8to 9 дней назад

    Kama unavirusi inawezekana kutokujulikana kama ujapimaaa

  • @bahatinassorali5222
    @bahatinassorali5222 13 дней назад

    Kwaiyo hawasomi

  • @EmmanuelLupoja
    @EmmanuelLupoja 14 дней назад

    Nitafanya kazi na nyinyi. Jpm nakupenda sana kiongozi wetu. Ila ndio hivo tena 😢

  • @EmmanuelLupoja
    @EmmanuelLupoja 14 дней назад

    Nimejikuta namuangalia jpm tu

  • @EmmanuelLupoja
    @EmmanuelLupoja 14 дней назад

    JPM yuko kushoto pale

  • @user-xl5ze7yr2v
    @user-xl5ze7yr2v 15 дней назад

    Hawa wa2 walikuwa wanajua kupangilia matukio old is Gold

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 17 дней назад

    RIP MTIKILA

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 17 дней назад

    WEZI HAWA NI MKONO WA IKULU NDIYO SABABU HAWAKAMATWI!!! KWA KATIBA HII UKIKUTA RAIS ANANYAMAZIA UWIZI BASI NAYE NI MIONGONI MWA WEZI, HALINA UBISHI. KWA KATIBA HII TUNATEGEMEA UWADILIFU WA RAIS PEKEE NA SI VINGINEVYO, (MWALIMU NYERERE ALIKUWA MWADILIFU WA HALI YA JUU, HAKUWA MWIZI) SIKUWAHI KUSIKIA KASHFA YA UFISADI HATA MOJA KTK UTAWALA WAKE!!! KAMA IPO NIKUMBUSHE WASTAAFU WOTE WA MWALIMU WAMEKUFA MASKINI KAMA MWALIMU!! LAKINI BAADA YA NYERERE NI BALAA WANAIBA UTADHANI WATAISHI MILELE!!!

  • @kristopapaapaulo811
    @kristopapaapaulo811 19 дней назад

    Tamu sana

  • @gracel91
    @gracel91 22 дня назад

    😂😂😂😂

  • @StevenHayola
    @StevenHayola 23 дня назад

    Steven hayola

  • @evancetilya167
    @evancetilya167 24 дня назад

    😂

  • @evancetilya167
    @evancetilya167 24 дня назад

    😂

  • @VitusGodfrey-ik7uw
    @VitusGodfrey-ik7uw 24 дня назад

    ABG!!!

  • @EliaoleshengEa-pv8fu
    @EliaoleshengEa-pv8fu 28 дней назад

    Nampenda gwajima sana lkn kuhusu hili kumtukana mzee sjapenda. Sisemi yuko sahihi mzee mm sjui. Lkn. Angesema tu mzee hayuko sahihi kistarabu

  • @EliaoleshengEa-pv8fu
    @EliaoleshengEa-pv8fu 28 дней назад

    Hi

  • @racheljob6601
    @racheljob6601 29 дней назад

    Nani kaona tako limedondoka😅

  • @user-ig5yn4zp2u
    @user-ig5yn4zp2u Месяц назад

    Siasa mnazofanya mnabahati watanzania wengi hawaelewi kama ulaya kw wasomi mngekuwa na wakati mgumu sana, ila fanyeni yote mnayoona ni mema kwenu ila mungu anawasuburia.

  • @melkiorimunisi5765
    @melkiorimunisi5765 Месяц назад

    Kichwaaaaaaa

  • @bonifacematano4281
    @bonifacematano4281 Месяц назад

    Naomba namba

  • @bonifacematano4281
    @bonifacematano4281 Месяц назад

    Naomba namba zako

  • @agustinoapolinar1623
    @agustinoapolinar1623 Месяц назад

    Acha kwanza wewe

  • @LovelyBakedBread-bs3rz
    @LovelyBakedBread-bs3rz Месяц назад

    Wimbo za kijeshi

  • @KhalfanJuma-ii4fk
    @KhalfanJuma-ii4fk Месяц назад

    Lissu jembe kweli kweli mungu mpe maisha marefu

  • @salimomary6913
    @salimomary6913 Месяц назад

    Duuu Kwel

  • @PaulNgumbau-sn3lr
    @PaulNgumbau-sn3lr Месяц назад

    Iko poa sana

  • @MapenziMalanda
    @MapenziMalanda Месяц назад

    Raisi ajaye

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 Месяц назад

    Analinda Maslahi ya Kanisa Lake.

  • @dominiquemushy895
    @dominiquemushy895 Месяц назад

    Mzee kikwete Mungu atakuona,

  • @user-gb6jg4ny7q
    @user-gb6jg4ny7q Месяц назад

    Mtu wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika taifa letu

  • @frankremishoy5778
    @frankremishoy5778 Месяц назад

    Hakuna matatizo tuliyonayo yalianxia huku

  • @FredMsafiri-qn8ji
    @FredMsafiri-qn8ji Месяц назад

    Good night educators

  • @josephkatabarwa9862
    @josephkatabarwa9862 Месяц назад

    Mwalimu, tunakukumbaga hadi Leo ( MGRIP)

  • @SakaraSangwa
    @SakaraSangwa Месяц назад

    mm k me mbd mm m 2:16 m

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 Месяц назад

    Tundundulisu pin point question is the ccm what tundundulisu explanation Rong answer Tanzania population safering on taxpayers whale gavment official eat taxpayers money coruption who brought into justice this is the tundundulisu explanation on palament who got into coruption

  • @kamarakusupa5456
    @kamarakusupa5456 Месяц назад

    HAYA YASIPOSAWAZISHWA, NCHI YETU ITAINGIA KWENYE MACHAFUKO. Sherehe za kuadhimisha miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar zimepita, Rais Samia kama kawaida yake tangu alipoapishwa, hajaongoza sherehe za muungano wala mapinduzi, ameshiriki kwa kujificha na kujiepusha! 1. Wasaidizi wa Samia mwaka huu wa wamesahau hata kusamehe wafungwa! 2. Walimwandalia Samia hotuba aliyoisoma usiku wa tarehe 25, Aprili. 2024. Hili liliacha swali kwanini Rais aepuke kuhutubia Taifa mbele ya umati wa wananchi waliomkusanyikia kushiriki kwenye sherehe hizo, badala yake atoe hotuba kwa njia ya video? 3. Kila aliyefuatilia hotuba yake, aliona wazi haikuwa “live” Samia hakutoa hotuba m’bashara, ile ilirekodiwa. Kwasababu kila Samia aliposikika akitamka neno muungano, sauti yake haikwenda na mwenendo wa picha zilizoonekana. Mdomo wake ulicheza tofauti, ukionyesha wazi alikuwa akizungumzia jambo jingine, yawezekana waandaji walituwekea moja ya picha za Rais Samia anapowaapisha watendaji wake anaowateua mara kwa mara. 4. Rais wa nchi yetu anauonea haya muungano, anajiepusha asionekane anausherehekea muungano, hili siyo jambo dogo. 5. Lakini pia Rais Samia haithamini kabisa Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya mwaka 1977, kwasababu anaikiuka wazi wazi bila kujali, alishatangulia kusema anaiona katiba ni kitabu tu, kwake siyo msahafu. 6. Wanaoshabikia muungano wajibu maswali haya; (i) Kwanini Sultani alipinduliwa? Maana mapinduzi ya Zanzibar ndio yaliyozaa muungano. (ii) Kwanini hati “original” ya mkataba ulioziunganisha Tanganyika na Zanzibar, waliosaini Nyerere na Karume ulifichwa na umeendelea kufichwa hadi leo? (iii) Tunataka hati hiyo itolewe mafichoni ionekane hadharani, iwekwe makumbusho ya Taifa, iwe kumbukumbu ya wote, isiendelee kuwa siri, ikifanywa mali ya kundi dogo la watu wanaojidhania wanao ujanja wa kudanganya wananchi wote kwa wakati wote. (iv) Kwanini muungano umebaki na sura ya sintofahamu? Maana hautafsiriki wala haueleweki! Hadi sasa tuna muungano usiokuwa “unison” wala usiokuwa “federation.” (v) Muungano ungekuwa “unison” maana yake tungekuwa na serikali moja kuu, inayotokana na nchi mbili Tanganyika na Zanzibar kuunganishwa kuwa iitwayo nchi moja Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tungekuwa na utaifa mmoja Watanzania, usingekuwako “Utanganyika” wala “Uzanzibari” bali “Utanzania.” Lakini haiko hivyo! Washabikia waseme ni kwanini tuna nchi mbili, serikali mbili na mataifa mawili yenye Marais wawili? (vi) Wanaoshabikia muungano waseme wazi kama Zanzibar ni nchi ama siyo nchi? Najua wapo wanaosema kibabe, kwamba Zanzibar ni nchi. Lakini ubabe wao hauwanufaishi wala hauwezeshi kutatua matatizo yanayoukabili muungano bandia. Kwasababu kama kweli Zanzibar ni nchi, inakuwaje isiwe mwanachama wa Umoja wa Mataifa? Kwanini uanachama wake ulisitishwa? Kwanini Zanzibar haitambuliki kimataifa? Kwani haiko kwenye orodha ya nchi wanachama wa UN? (viii) Nani aliyekiondoa kiti cha Zanzibar kwenye Umoja wa Mataifa? Nani aliyeifutia Zanzibar uanachama wake? Maana Zanzibar na Pemba ni visiwa vilivyo ndani ya Bahari ya Hindi kama Sychelles na Comoro yenye visiwa vyake Anjuan, Mayote na Moroni. (ix) JE, ni kitu gani kiliitokea nchi iliyoitwa Tanganyika? Nchi yetu ilipata uhuru tarehe 9, Desemba, mwaka 1961. Serikali ya Tanganyika huru iliongozwa na Chief Minister. Baada ya mwaka mmoja Tanganyika iliachana na mfumo wa “Westminster” uliofanywa tuongozwe na Waziri Mkuu, tulikuwa Jamhuri tarehe 9, Desemba 1962, tukaanza kuongozwa na Rais mtendaji. JE, nani aliyeikomesha Tanganyika yetu? (x) Hati “original” ya mkataba uliosainiwa tarehe 26. Aprili, 1964 inasomeka “The United Republic of the peoples of Tanganyika and the peoples of Zanzibar. Hapa kuna swali, ni lini Zanzibar ilipoanza kuwa Jamhuri yenye Rais mtendaji? Maana baada ya mapinduzi ya tarehe 12. Januari 194 yalitangazwa Karume kama Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi, naye alijiapiza akisema Zanzibar haitafanya uchaguzi labda baada ya miaka 50. (xi) JE, huo muungano ulikuwa baina ya nchi na nchi ama ulikuwa muungano baina ya dola moja na dola nyingine? Ungekuwa muungano baina ya nchi na nchi, basi neno The United Republic of Tanzania lingeonekana kwenye mkataba waliosainishwa Nyerere na Karume. Kwahiyo Tanzania ni nchi bandia isiyokuwako ndani ya makataba! (xii) Muungano ungekuwa baina ya dola na dola, usingemfanya Karume aishie kuwa mwenye Urais bila dola! Hapa ndipo uwongo na ubandia wa muungano unapojidhihirisha wazi wazi, kwamba ulikuwa “fasheni” na ndio maana wakati wote umelindwa kibabe huku ukibadilishwa kulingana na matakwa ya kundi dogo. (xiii) Muungano wa “kifasheni” leo umesababisha tuwe na Makamu wa Rais bandia, asiyekuwa na madaraka yoyote Zanzibar wala Tanganyika. Maana kulingana na mkataba uliosainiwa tarehe 26. Aprili, 1964, Abeid Amani Karume aliyekuwa Makamu wa Rais, ndiye alikuwa kiungo muhimu cha muungano. Tuwe wakweli na wahalisia, Dk Philip Mpango ana uzito gani wa kuimarisha muungano wakati Wazanzibari hawamwoni kama kiongozi wao anayeweza kusema wakamsikiliza? (xiv) Muungano wa “kifasheni” the union which has been fashionable year after year, umetupatia Rais bandia wa nchi ya kufikirika inayoitwa Tanzania, ambayo haimo kwenye mkataba uliosainiwa tarehe 26. Aprili, 1964. Hapa kuna jinai mbili ambazo washabiki wamejitahidi kuzificha, jinai ya kwanza ni kuipoteza Tanganyika nchi ya kweli iliyopata uhuru kikatiba. Tukumbuke katiba ni mkataba kati ya watawala na watawaliwa. Jinai ya pili ni kuupoteza uhuru wa Zanzibar wa tarehe 10. Desemba, 1963. Maana hakuna mshabiki anayeweza kusema kwa ujasiri kwamba Zanzibar ilianza kuwa huru tarehe 12. Januari, 1964. (xv) Jinai ya kuukomesha uhuru wa Zanzibar, ndiyo iliyoukomesha Utaifa wa Mzanzibaria na kuifutia Zanzibar uanachama wake kwenye Umoja wa Mataifa. Mzanzibari alipumbazwa kwa kupewa Uraia pacha, kwamba atakuwa raia wa nchi yake Zanzibar pia atakuwa raia wa Tanganyika iliyoitwa jina bandia Jamhuri ya muungano wa Tanzania. (xvi) Washabiki hawawezi kueleza kwanini Zanzibar iwe nchi isiyokuwa Taifa? Kwanini iwe nchi isiyotambulika kimataifa, wala isiyokuwamo kwenye orodha ya nchi wanachama wa UN? (xvii) Washabiki hawawezi kueleza kwanini Zanzibar isiyokuwa mwanachama wa Umoja wa Mataifa iwe na wimbo wake wa Taifa na bendera yake? JE, haya ni maigizo tu ama ni maasi ya watu kujitangazia utaifa wao ndani ya Taifa jingine? (xviii) Washabiki hawawezi kueleza kwanini Rais Samia anaitawala Tanganyika na hatawali nchi ya kimuungano? Maana Samia hana madaraka yoyote kwa Wazanzibari, madaraka yake yameishia kuwatawala Watanganyika tu!. (xix) Washabiki waeleze ni kwanini Samia anawateua Wazanzibari wenye nchi yao, anawapa nafasi za utawala nchini Tanganyika? JE, anawateua chini ya kifungu gani cha katiba? Au anatumia ubabe, dharau na kiburi cha kuwaona Watanganyika kama “misukule” wasioweza kumkatalia mabaya yasiyowanufaisha? (xx) Kwanini Rais Samia anauza Rasilimali za Tanganyika bila hofu? Maana mali za Zanzibar hazigusi kabisa! (xxi) Kwanini Rais Samia anatwaa dola za Watanganyika anazipeleka Zanzibar? Rais Samia amehujumu ujenzi wa uwanja wa mpira mjini Dodoma ambao Rais Magufuli alipanga kuujenga eneo la Nanenane, ungeingiza watazamaji 60,000. Rais Samia amewapa wapigaji kujenga uwanja wa kuingiza watu 30,000 tu, fedha zingine ameelekeza zikaboreshe uwanja wa Amaan nchini Zanzibar! (xxii) Haya maswali yasipojibiwa kwa hekima na upole, yasipopata majibu sahihi, mwisho wake lazima damu itamwagika. Kwasababu wataibuka wakombozi watakaokuwa tayari kuikomboa Tanganyika yao kwa gharama yoyote. Maana siku zote dhambi huzaa mauti.

  • @SimonChapi
    @SimonChapi Месяц назад

    Tunapataje

  • @SadikiKinyoka-yn4dr
    @SadikiKinyoka-yn4dr Месяц назад

    Dokita mm ninamwaka namiezi cjaona hedhi

  • @SadikiKinyoka-yn4dr
    @SadikiKinyoka-yn4dr Месяц назад

    Dokita mm ninamwaka namiezi cjaona hedhi

  • @paulwilliam6223
    @paulwilliam6223 Месяц назад

    2024 nipo hapa Wa 2024 tujuane. Za sahizi nimeshalimiwa na mke wangu na watoto zangu nyumbani😅

  • @user-os4in4im7i
    @user-os4in4im7i Месяц назад

    Asant

  • @magrethkapinga1811
    @magrethkapinga1811 Месяц назад

    Aiyeleweki mie nimeoshia no 4 tu baada ya apo sioni kitu

  • @user-gd2xj3xd1b
    @user-gd2xj3xd1b Месяц назад

    Hasidi wa Zanzibar na watu wake kibaraka wa wazungu

  • @officialhuntertz2554
    @officialhuntertz2554 2 месяца назад

    Dunian wawili wawili😅😅😅

  • @idomudi4024
    @idomudi4024 2 месяца назад

    No😢